
Ilibidi niifanye vile naifeel,
Siezi sahau maulana ndo alinipa hi skill
Mistari saa zingine hujazana na kuspill
Over kama chai kwa kikombe ama
Uji kwenye guard tafadhali msiniombe,
Ni roho yake sio influence ya pombe
Tupendane tafadhali tusigombe –zane
Tumekuwa mandugu miaka mingi labda karne
Nakukumbuka hadithi za babu zile za kale
Msiwe na shaka my friends kuna matumaini
Yesu kristo ndio mwangaza kamili
Kuna mwangaza na tumaini
Usitence mtu wangu na kukatwa ini,
Unadai nini ?wasi wasi kwa nini?
Hukumbuki tulifundishwa yamkini,
Alifufuka siku ya tatu ,baada ya pili,
Kwa ajili alitupenda sana ,
Haezi mind hata kama umeshikana ,
Yu tayari saa zote mungu wangu ,yani rabana,
Boss tia bidii inabidi kukazana
Ju aliye above alinionyesha love
Yesu Kristo ndio true light and hope
Tumaini na mwangaza yani Light and Hope,
Nime baini ni kutight lakini nitacope,
Ameichambua roho yangu kama Microscope,
Shughuli za noti na BOP,
Dhambi zangu nadrop,
Na umwere KUDROP
Siintend kustop
Na baraka Kupop,
Ndio maana na PROPOSE
Kumantain NENO Nikicompose,
Yesu kristo of course
Ndio tusiende OFF-cause
Ju aliye above alinionyesha love
Yesu Kristo ndio light and hope
Imebidi tupige raundi leo tuwe marafiki
Kutiana smile ,wakati wa dhiki,
Utamu wa uki,
Kwani hukumbuki,
Light and hope ,mimi sistuki,
Hata wakijaribu eti kunimamluki,
Kukiget spooky,
Siezi toka nduki ,
Naifanya roho safi ,hakuna haja ya chuki,
Ju aliye above alinionyesha love
Yesu Kristo ndio light and hope